Wana JF, kombe la club bingwa ulaya lanategemewa kutua nchini mnamo machi 27 mwaka huu. kombe hili linaletwa kwa udhamini wa kinywaji cha HEINEKEN.Je ujio wa kombe hili unaweza kuwa na athari yoyote chanya kwa soka letu la bongo?
Source: blogu ya Michuzi