Kombe Muungano 2024/25 liwe kama MTN 8. Yaani team 8 za zanzibar na team 8 za bara

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,134
Reaction score
3,834
Ni simple advice,

Hii nimeiyona South africa. phone company imeweka hela kila msimu kuna MTN 8. Team 8 za juu zina compete for MTN Championship na jezi sponsors kabisa

Note: Tigo, Vodacom, Airtel wanaweza chukua tigo 8, voda8, Airtel 8. wapige kampeni na jezi zao kabisa.

Good day
Thank you.
 
Kampuni za simu za bongo zipo hoi kiuchumi sijui kama wataweza kufanya ivo
 
not true, a trillion + shilingi in m-pesa per year 😒.

sema private equity wamenunua wanazinyonya
 
Sijui ila sina uhakika ili nilichoskia kampuni za simu zinahemea mashine hali ni mbaya sana ndyo maana hata hisa za vodacom zimezubaa sokoni hazikui

Ndyo maana siku iz wameanzisha huduma mbalimbali za bima nk kuongeza wigo wa mapato
 
ni private equity funds wana care about profit not the company at near death watauza. vodacom wajaemploy watu wapya months sasa. no major expansions. makato na songesha are too expensive.

dunia nzima wanaface same issue except china.. ukijiprotect from private equity utaishi vizuri with good employment and opportunities. sema serikali ya kifala hii, 😔niombee niwe raisi one day. i will fix this country.
 
Duh si mchezo
 
Tusiojua uchumi umetuacha nyuma katika hilo. Elezea kidogo mkuu katika hili.
 
Michuano iliyopo inatosha, wachezaji sio maroboti Kila mkianzisha michuano mnataka wacheze, ulaya wanapiga kelele kwa msimu mchezaji asicheze zaidi ya mechi 50 huku kwetu mara afl, mara mapinduz, mara kagame, ngao ya jamii inaanza nusu fainali, uje ligi, cafcl, cafccl na hili tena, vurugu zinazidi
 
Yaani Tanganyika yenye watu zaidi ya milioni 58 na timu za soka rasmi zaidi ya 5000, halafu itoe timu 8 tu kushiriki ligi ya muungano na hapo Zanzibar yenye watu wasiozidi milioni 2 na timu rasmi za soka zisizozidi 50 itoe timu nane kushiriki ligi ya muungano.

Nini mantiki yake?
Tutakuwa tunashindanisha nini?

Kwa kifupi hakuna sababu ya kuwa na ligi ya muungano, ni bonanza la kinafiki tu.
 
Michuano iliyopo inatosha, wachezaji sio maroboti Kila mkianzisha michuano mnataka wacheze, ulaya wanapiga kelele kwa msimu mchezaji asicheze zaidi ya mechi 50 huku kwetu mara afl, mara mapinduz, mara kagame, ngao ya jamii inaanza nusu fainali, uje ligi, cafcl, cafccl na hili tena, vurugu zinazidi
then the teams should sign more players. mbona simple tu
 
Back
Top Bottom