Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
not true, a trillion + shilingi in m-pesa per year 😒.Kampuni za simu za bongo zipo hoi kiuchumi sijui kama wataweza kufanya ivo
Sijui ila sina uhakika ili nilichoskia kampuni za simu zinahemea mashine hali ni mbaya sana ndyo maana hata hisa za vodacom zimezubaa sokoni hazikuinot true, a trillion + shilingi in m-pesa per year 😒.
sema private equity wamenunua wanazinyonya
ni private equity funds wana care about profit not the company at near death watauza. vodacom wajaemploy watu wapya months sasa. no major expansions. makato na songesha are too expensive.Sijui ila sina uhakika ili nilichoskia kampuni za simu zinahemea mashine hali ni mbaya sana ndyo maana hata hisa za vodacom zimezubaa sokoni hazikui
Ndyo maana siku iz wameanzisha huduma mbalimbali za bima nk kuongeza wigo wa mapato
Duh si mchezoni private equity funds wana care about profit not the company at near death watauza. vodacom wajaemploy watu wapya months sasa. no major expansions. makato na songesha are too expensive.
dunia nzima wanaface same issue except china.. ukijiprotect from private equity utaishi vizuri with good employment and opportunities. sema serikali ya kifala hii, 😔niombee niwe raisi one day. i will fix this country.
Tusiojua uchumi umetuacha nyuma katika hilo. Elezea kidogo mkuu katika hili.ni private equity funds wana care about profit not the company at near death watauza. vodacom wajaemploy watu wapya months sasa. no major expansions. makato na songesha are too expensive.
dunia nzima wanaface same issue except china.. ukijiprotect from private equity utaishi vizuri with good employment and opportunities. sema serikali ya kifala hii, 😔niombee niwe raisi one day. i will fix this country.
Tusiojua uchumi umetuacha nyuma katika hilo. Elezea kidogo mkuu katika hili.
then the teams should sign more players. mbona simple tuMichuano iliyopo inatosha, wachezaji sio maroboti Kila mkianzisha michuano mnataka wacheze, ulaya wanapiga kelele kwa msimu mchezaji asicheze zaidi ya mechi 50 huku kwetu mara afl, mara mapinduz, mara kagame, ngao ya jamii inaanza nusu fainali, uje ligi, cafcl, cafccl na hili tena, vurugu zinazidi
Utawalipa wewe?then the teams should sign more players. mbona simple tu