Kombe wamelikosa kwa miaka 5 mfululizo: Baada ya kulipata mwaka huu, tutegemee kusikia sauti ya MBWATA! MBWATA! MBWATA!

Kombe wamelikosa kwa miaka 5 mfululizo: Baada ya kulipata mwaka huu, tutegemee kusikia sauti ya MBWATA! MBWATA! MBWATA!

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
Si wote tunaijua mithali isemayo: Maskini akipata .................. hulia MBWATA!! , kwa hiyo tusishangae kusikia sauti ya mbwata, mbwata, mbwata! baada ya watani kulipata mwaka huu baada ya kuteseka kwa miaka 5. Hongera watani!!
 
Makolo mbona vilaza sana!!! Kutwa kucha na story zenu za kijinga. Mwaka huu mmebahatisha kutetea uhai tu. Endeleeni kuchanga bukubuku
 
simba ndio wana rekodi ya kukosa miaka mitano

2013 - Yanga
2014 - Azam
2015 - Yanga
2016 - Yanga
2017 - Yanga

yanga wamekosa miaka minne

2018 - Simba
2019 - Simba
2020 - Simba
2021 - Simba

.....return of champions

2022 - Yanga
Mbwata
Mbwata
Mbwata
[emoji1787]
 
Yanga bwana eti the return of the champions ila manara anawajaza ujinga wakifika wanacheza mechi mbili wanarudi wanabaki na kazi yao ya asili yakupokea wageni
 
1976-Simba
1977-Simba
1978-Simba
1979-Simba
1980-Simba
*1968 hadi 1972 kwa miaka mitano Yanga alibeba ndoo

Simba wamelikosa komba mara tano mfululizo kwa vipindi viwili...... ni rekodi ya kipekee
 
Si wote tunaijua mithali isemayo: Maskini akipata .................. hulia MBWATA!! , kwa hiyo tusishangae kusikia sauti ya mbwata, mbwata, mbwata! baada ya watani kulipata mwaka huu baada ya kuteseka kwa miaka 5. Hongera watani!!
Ujui chochote kanye ulale
 
Si wote tunaijua mithali isemayo: Maskini akipata .................. hulia MBWATA!! , kwa hiyo tusishangae kusikia sauti ya mbwata, mbwata, mbwata! baada ya watani kulipata mwaka huu baada ya kuteseka kwa miaka 5. Hongera watani!!
Miaka 5 kivipi bwashee unahisi hatufatilii unaweza ongopa tu unavyojiskia? Mmechukua ubingwa misimu 4 mfululizo 2017/2018,2018/2019,2019/2020, 2020/2021 wa 5 ndio huu 2021/2022 kombe limerudi nyumbani na misimu 3 nyuma 2014/2015,2015/2016,2016/2017, kombe lilikuwa nyumbani tena!
 
simba ndio wana rekodi ya kukosa miaka mitano

2013 - Yanga
2014 - Azam
2015 - Yanga
2016 - Yanga
2017 - Yanga

yanga wamekosa miaka minne

2018 - Simba
2019 - Simba
2020 - Simba
2021 - Simba

.....return of champions

2022 - Yanga
Mm pia nimemshangaa alidhani vilaza tutaitikia kila atakachoongea
 
Yanga bwana eti the return of the champions ila manara anawajaza ujinga wakifika wanacheza mechi mbili wanarudi wanabaki na kazi yao ya asili yakupokea wageni
hili suala la River utd kututoa raundi ya awali ni excuse ya Makolo FC kujipoza tu Yanga haikuwa na wachezaji wafuatao Bangala, Chiko, Nkane, Aucho, Moloko, Djuma Shabani, Sureboy nk sasa Mikia mlitaka tushindeje? si mmeona kikosi kilipopata muunganiko tumewapasua Kirumba?

Subirini muone balaa la Aziz K, Msuva na Kambole wakichezea kikosi cha ushindi!

Program ya Nabi ni kuchukua makombe yote ya Tanzania na Afrika kwa miaka kumi mfululizo ila lile kombe la Mapinduzi tu ndo tutawaachia Mikia

muda utaongea!
 
Hongereni Makolo kwa ushindi wa Jana na kutangazwa mabingwa
 
Si wote tunaijua mithali isemayo: Maskini akipata .................. hulia MBWATA!! , kwa hiyo tusishangae kusikia sauti ya mbwata, mbwata, mbwata! baada ya watani kulipata mwaka huu baada ya kuteseka kwa miaka 5. Hongera watani!!
Bado mnaweweseka tu Wananchi kuwa mabingwa! Fanyeni usajili ili msimu ujao walau muingie top 4! Maana uwezekano wa kushika nafasi ya 2 ni mdogo sana.
 
Back
Top Bottom