mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Makolo ndio nini?Makolo mbona vilaza sana!!! Kutwa kucha na story zenu za kijinga. Mwaka huu mmebahatisha kutetea uhai tu. Endeleeni kuchanga bukubuku
Mbwatasimba ndio wana rekodi ya kukosa miaka mitano
2013 - Yanga
2014 - Azam
2015 - Yanga
2016 - Yanga
2017 - Yanga
yanga wamekosa miaka minne
2018 - Simba
2019 - Simba
2020 - Simba
2021 - Simba
.....return of champions
2022 - Yanga
simba ndio wana rekodi ya kukosa miaka mitano
2013 - Yanga
2014 - Azam
2015 - Yanga
2016 - Yanga
2017 - Yanga
yanga wamekosa miaka minne
2018 - Simba
2019 - Simba
2020 - Simba
2021 - Simba
.....return of champions
2022 - Yanga
*1968 hadi 1972 kwa miaka mitano Yanga alibeba ndoo1976-Simba
1977-Simba
1978-Simba
1979-Simba
1980-Simba
Ujui chochote kanye ulaleSi wote tunaijua mithali isemayo: Maskini akipata .................. hulia MBWATA!! , kwa hiyo tusishangae kusikia sauti ya mbwata, mbwata, mbwata! baada ya watani kulipata mwaka huu baada ya kuteseka kwa miaka 5. Hongera watani!!
Miaka 5 kivipi bwashee unahisi hatufatilii unaweza ongopa tu unavyojiskia? Mmechukua ubingwa misimu 4 mfululizo 2017/2018,2018/2019,2019/2020, 2020/2021 wa 5 ndio huu 2021/2022 kombe limerudi nyumbani na misimu 3 nyuma 2014/2015,2015/2016,2016/2017, kombe lilikuwa nyumbani tena!Si wote tunaijua mithali isemayo: Maskini akipata .................. hulia MBWATA!! , kwa hiyo tusishangae kusikia sauti ya mbwata, mbwata, mbwata! baada ya watani kulipata mwaka huu baada ya kuteseka kwa miaka 5. Hongera watani!!
Mm pia nimemshangaa alidhani vilaza tutaitikia kila atakachoongeasimba ndio wana rekodi ya kukosa miaka mitano
2013 - Yanga
2014 - Azam
2015 - Yanga
2016 - Yanga
2017 - Yanga
yanga wamekosa miaka minne
2018 - Simba
2019 - Simba
2020 - Simba
2021 - Simba
.....return of champions
2022 - Yanga
Jibu hoja sio kujichekesha km msimbe hyo miaka 5 iko wapi hapo?Mbwata
Mbwata
Mbwata
[emoji1787]
hili suala la River utd kututoa raundi ya awali ni excuse ya Makolo FC kujipoza tu Yanga haikuwa na wachezaji wafuatao Bangala, Chiko, Nkane, Aucho, Moloko, Djuma Shabani, Sureboy nk sasa Mikia mlitaka tushindeje? si mmeona kikosi kilipopata muunganiko tumewapasua Kirumba?Yanga bwana eti the return of the champions ila manara anawajaza ujinga wakifika wanacheza mechi mbili wanarudi wanabaki na kazi yao ya asili yakupokea wageni
Bado mnaweweseka tu Wananchi kuwa mabingwa! Fanyeni usajili ili msimu ujao walau muingie top 4! Maana uwezekano wa kushika nafasi ya 2 ni mdogo sana.Si wote tunaijua mithali isemayo: Maskini akipata .................. hulia MBWATA!! , kwa hiyo tusishangae kusikia sauti ya mbwata, mbwata, mbwata! baada ya watani kulipata mwaka huu baada ya kuteseka kwa miaka 5. Hongera watani!!