Kombi ya CBG naweza kusomea Pharmacy?

Kombi ya CBG naweza kusomea Pharmacy?

risasi son

Member
Joined
Jun 1, 2014
Posts
22
Reaction score
3
Ninasoma kombi ya CBG ...

Naomba kufahamu endapo nitafaulu vizuri naweza kusomea pharmacy. medical laboratory science or biochemical engeneering katika vyuo kama bugando , kcmc na muhimbili ?
 
Hapo hauna chako.

Physics ni muhimu mno. Hua wanaamdika principal za biology na chemistry kama aualificstion, lakini ktk selection hua wanaangalia physics ili kurahisisha selections, maana hizo degree programs hua zinaombwa na wengi.

Apo labda unesi, tena st. John!
 
Bugando wako flexible kwa hii combinatuon.
 
Medical laboratory physics is subsidiary hvyo uwez kusoma hyo koz, ila pharmacy unapata pamoja na BSc in nursing.
 
Vyuo vingine sijui lakini MUHAS haiwezekani

Cha msingi,soma kwa bidii,ukimaliza na ukafaulu vizuri njoo hapa tuchukue kitabu cha TCU tuangalie,huwezi kukosa kozi nzuri ya kusoma

Haujapotea kuwa CBG,usiwe na mategemeo makubwa sana lakini
 
Back
Top Bottom