Naomba kufahamu endapo nitafaulu vizuri naweza kusomea pharmacy. medical laboratory science or biochemical engeneering katika vyuo kama bugando , kcmc na muhimbili ?
Physics ni muhimu mno. Hua wanaamdika principal za biology na chemistry kama aualificstion, lakini ktk selection hua wanaangalia physics ili kurahisisha selections, maana hizo degree programs hua zinaombwa na wengi.