Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Kwahiyo lengo la serikali ilikuwa kumsumbua tu na kumhenyesha basi! Job true true!
Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Tanga, Kombo Mbwana aliyekuwa mahabusu kwa zaidi ya miezi minne baada ya Mahakama ya Wilaya ya Tanga kumnyima dhamana, amerejea uraiani kwa kulipa faini ya Sh85,000.
Kombo ambaye ni Ofisa Habari wa CHADEMA Mkoa wa Tanga alikuwa anakabiliwa na kesi ya jinai, katika Mahakama ya Wilaya ya Tanga.
Pia soma:
www.jamiiforums.com
Katika kesi hiyo ya jinai namba 19759 ya mwaka 2024, Kombo alikuwa anakabiliwa na mashtaka matatu chini ya Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta.
Mwananchi

Tanga: Mahakama kutoa uamuzi kuhusu Polisi kuendelea kumshikilia Kombo Mbwana
Leo Alhamisi, Septemba 5, 2024 ni siku nyingine ya matumaini kwa mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Tanga, Kombo Mbwana, anayekabiliwa na kesi ya jinai, kurejea uraiani kwa dhamana. Uamuzi huo unatarajiwa kutolewa na Mahakama ya Wilaya ya Tanga, kuhusiana na maombi...