KOMBOLELA:NILIONDOKA NA MPIRA KWAPANI.

KOMBOLELA:NILIONDOKA NA MPIRA KWAPANI.

kaligopelelo

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2013
Posts
2,832
Reaction score
4,070
Huu mchezo ulikuwa na mambo yake kipindi hicho.
Nilijuta kwanini nilicheza kombolela na wakubwa walionizidi umri. Nikiwa na umri wa under 7,niliwahi kuondoka na mpira yakiwa ni maamuzi yangu ya mwisho baada ya kuwasaka waliojificha bila mafanikio. Kumbe wale jamaa walikuwa inpairs kama njiwa,kila mtu na wake. Nilikaa na mpira mpaka nilipoona bora niende zangu. Hawakuonekana tena mpaka giza limeanza ndo wakaanza kuonekana huku wakinilaumu eti sifai,siwezi kutafuta kumbe wao walienda kubebana. Nimekuja kuelewa picha baada ya kukua na mimi nikaona raha ya kujificha kusikojulikana na pair yangu.

Kombolela ina raha yake bhana.
 
Mtaai kwenu kulikuwa na watoto watukutu
Sisi kombolera zetu zote ziliishaga salama
 
Back
Top Bottom