Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Wadau Hamjamboni nyote?
Haipoi hadi iishe na msako dhidi ya magaidi unaendelea kwa kasi ileile
Muda huu tayari IDF wameshafanya yao na aliyekusudiwa tayari kashatangulizwa mbele za haki
Niwatakie mchana mwema