M Mdau1000 Member Joined Aug 21, 2024 Posts 19 Reaction score 13 Oct 17, 2026 #1 Tunaiomba serikali kukomesha mauaji yanayofanywa na wafuagaji katika wilaya ya Tunduru #Tunduru bila mauaji inawezekana Attachments 1792248749805.jpg 246.3 KB · Views: 3
Tunaiomba serikali kukomesha mauaji yanayofanywa na wafuagaji katika wilaya ya Tunduru #Tunduru bila mauaji inawezekana
G GO GETTER JF-Expert Member Joined Aug 4, 2024 Posts 499 Reaction score 1,152 Oct 17, 2026 #2 Wafugaji wameaua wakulima?, kwanini wauawe?
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 123,324 Reaction score 202,767 Oct 21, 2026 #3 Na muhukuru pia wakulima wanauawa sanaa.
B Bush Dokta JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 42,525 Reaction score 74,605 Oct 21, 2026 #4 Duhh
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 22,569 Reaction score 43,614 Oct 21, 2026 #5 Wafugaji hawana tatizo,tatizo ni viongozi wa chama na serikali,mapolisi wanawasumbua mno wanawakamata wafugaji kuwasingizia kesi za uongo na kuwaomba rushwa sana. Imefikia mahali wafugaji nao wanachoka.
Wafugaji hawana tatizo,tatizo ni viongozi wa chama na serikali,mapolisi wanawasumbua mno wanawakamata wafugaji kuwasingizia kesi za uongo na kuwaomba rushwa sana. Imefikia mahali wafugaji nao wanachoka.
M Mdau1000 Member Joined Aug 21, 2024 Posts 19 Reaction score 13 Oct 22, 2026 Thread starter #6 GO GETTER said: Wafugaji wameaua wakulima?, kwanini wauawe? Click to expand... GO GETTER said: Wafugaji wameaua wakulima?, kwanini wauawe? Click to expand... Attachments VID-20261022-WA0014.mp4 2.3 MB
GO GETTER said: Wafugaji wameaua wakulima?, kwanini wauawe? Click to expand... GO GETTER said: Wafugaji wameaua wakulima?, kwanini wauawe? Click to expand...