mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 11,904
- 8,371
Wakulu naomba msaada naamini hapa kuna nguli wengi wa Tekohama mtanisaidia .hivi sasa komputa yangu inashindwa kutambua faili zilizo kwenye mfumo wa PDF ,hapo zamani nilikuwa naweza kufungua faili zilizo kwenye PDF bila nongwa,sasa ni siku ya nne hili tatizo la kushindwa kufunguka na mpaka sasa sijui nifanyeje,tafadhali naomba msaada