Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
🌍KOMREDI KAWAIDA AWASILI KARIMJEE HALL, MAHAFALI YA SENETI DAR ES SALAAM
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Komredi Mohammed Ali Kawaida (MCC) amewasili Karimjee Hall ambapo anashiriki Mahafali ya Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu UVCCM Mkoa wa Dar es Salaam tarehe 16 Juni, 2024.
Komredi Kawaida ameambatana na Katibu wa Idara ya Mahusiano ya Kimataifa Vyuo na Vyuo Vikuu Komredi Emanuel Martine pamoja na Maafisa wa UVCCM Makao Makuu.
#SautiYaVijana
#KulindaNaKujengaUjamaa
#TunaendeleaNaMama
#Kaziiendelee
Imetolewa na:
Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM-Taifa