Pre GE2025 Komredi Mwajabu Mbwambo aongoza UWT Dar es Salaam kutembelea Ihsan Orphanage Center - Kata ya Kibada

Pre GE2025 Komredi Mwajabu Mbwambo aongoza UWT Dar es Salaam kutembelea Ihsan Orphanage Center - Kata ya Kibada

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301

KOMREDI MWAJABU MBWAMBO AONGOZA UWT MKOA WA DAR ES SALAAM KUTEMBELEA IHSAN ORPHANAGE CENTER KIGAMBONI-KIBADA
WhatsApp Image 2024-01-28 at 23.56.36.jpeg

Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Dar es salaam ukiongozwa na Mwenyekiti UWT Komredi Mwajabu Rajabu Mbwambo wameshirikiana na Uongozi wa UWT Kata Kibada kutembelea kituo cha kulelea watoto Yatima Ihsan Orphanage Center kilichopo Kata ya Kibada Tawi la Kiziza.

Ziara hiyo ya tarehe 27 Januari, 2024 iliambatana na kufanya Dua ya kumuombea Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika siku yake ya kuzaliwa na kutimiza miaka 64 na kuombea Taifa zima kwa ujumla na kutoa mahitaji muhimu kwa watoto wanaolelewa katika kituo hicho na kumkabidhi Mlezi wao Bi. Hidaya.

WhatsApp Image 2024-01-28 at 23.56.52.jpeg

UWT Imara
Jeshi la mama Samia
Kazi Iendelee
 
Hiki ndio nini sasa? Yani kwenda kusaidia mayatima budget ya kupiga picha na nderemo ni kubwa kuzidi msaada wenyewe!! Achane mbwembwe enyi wakata mauno wa lumumba
 
Back
Top Bottom