Kona ya Gwajima

Snipes

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2013
Posts
9,165
Reaction score
16,791
Gwajima: naona Bashite kaliamsha dudee sasa tukutane jumapili ijayo kanisa la ufufuo na uzima
wazee wa popcorn mnichukulie na mimi nitawawekea siti

[HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]
 
Dah wanaomuona gwajima MTU muhim nashindwa kuelewa wanatumiaa nn kufikiria
 
Dah wanaomuona gwajima MTU muhim nashindwa kuelewa wanatumiaa nn kufikiria
Usijikute wewe ndio una...... kumukichwa!!!!

Fanya vipimo vyote kama ct scan au anza mionzi kabisa maana shambulio lipo ndani ya kichwa.
 
Mh ndani ya kichwa na mionz tena dah we una hatar nahs no mmoja kati ya wafuas Wa gwajima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…