Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
- Thread starter
-
- #41
MkuuNaomba bei ya hizo track suit
Hiz mkuu mlimani au maifea unaweza pata hiziMwenye masweta ya COOGI wakuu.View attachment 2228375View attachment 2228376View attachment 2228377View attachment 2228378
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja sana, huwa kali sana hizi.Hiz mkuu mlimani au maifea unaweza pata hizi
Hiki sio kitu cha Mturuki hiki?
Hiyo vijana wanaitaga "shoo shoo". Nzuri Sana kiongoziHiki sio kitu cha Mturuki hiki?
Kuna shirt flani hivi za Mturuki ziko fresh kinoma.
Kariakoo kiongozLocation wapi mkuu
Nnazo zaidi ya 20 [emoji1][emoji1]Naikubali San hii mikanda
Hii shati nimelielewa mkuuMkuu buji [emoji23] kama hizi auView attachment 2221921View attachment 2221923
Turkey mkuu?Hizi suruali kama hujaanza kuvaa zitafute utanishukuruView attachment 2223970
Njoo Dm kiongozHii shati nimelielewa mkuu