Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,583
- 4,776
Ila namkubali jamaa anajituma uwanjani. Ila yukoyuko tu hata vaa vaa yake ya kishamba licha ya kukunja million 500 kwa wiki.Haki yake
Ila namkubali jamaa anajituma uwanjani. Ila yukoyuko tu hata vaa vaa yake ya kishamba licha ya kukunja million 500 kwa wiki.
Kwenye picha hapo chini kulikuwa na haja gani ya tai na kaptula.
View attachment 3492533
Bange mbaya eti na huu Uzi 😆Sijui namwonaje huyu beki hatari wa Liverpool Ibrahim Konate. Yuko kishambashamba tu. Sura yake haileweki sijui ana huzunika ama analia.
Jana kwenye UEFA aliifungia Liverpool goli kali la kichwa kwenye mpira wa Kona na kushangilia kwa kuseleleka na magoti.
Inaonekana aliipania sana kushangilia hivi.
View attachment 3492507
adriz Chaliifrancisco
Usimchukulie serious sana mwanangu Busu la Kengemaajabu haya eti mbongo mwenye maisha ya kubahatisha na ananuka umaskini anamdis mtu anayeingiza billioni 2 kwa mwezi.!
We kenge Nshupu kumejaa mbigiri unashanhiliaje hivyo?Nilijaribugi hii style ya kushangilia goli miaka ya nyuma Nshupu Meru. Nilichubuka magoti balaa. Si unajua tena viwanja vya Bongo.
adriz
HahahaWe kenge Nshupu kumejaa mbigiri unashanhiliaje hivyo?
Ila namkubali jamaa anajituma uwanjani. Ila yukoyuko tu hata vaa vaa yake ya kishamba licha ya kukunja million 500 kwa wiki.
Kwenye picha hapo chini kulikuwa na haja gani ya tai na kaptula.
View attachment 3492533
Dogo imepotea sana.We kenge Nshupu kumejaa mbigiri unashanhiliaje hivyo?
Huyo siyo mimi wee kobaz.Wewe nati mlegezo Busu la Kenge , hii ID yako ya Chaliifrancisco uliitelekeza
Mgerasi nililimwa shaba ya mbupu oct29Dogo imepotea sana.