KONDA NA MWIZI

KONDA NA MWIZI

medsebapol

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2015
Posts
327
Reaction score
225
Jamaa alikuwa kwenye daladala ghafla akapokea ujumbe toka kwa Demu aliyekuwa anampenda ila bado hawajafanya tendo la ndoa "nimefikiria nimeona leo nije nikupe kwani umeonyesha uvumilivu sana, je utakuwa nyumbani nije? Jamaa akafurahi sana akashika simu akaandika "Ndio nipo mpenzi njo...." kabla hajatuma kibaka akakwapua simu, Jamaa akatoa kichwa dirisha na kupiga kelele " we mwizi bonyeza send, bonyeza send, bonyeza send' [emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

KAMA UNGELIKUWA WEWE KONDA UNGELIMWAMBIAJE MWIZI...[emoji102] [emoji81] [emoji81]
 
Chezea kusubiria game kwa muda mrefu.
 
Back
Top Bottom