Kondakta na Utingo wa Basi la Abood wakamatwa kwa kusafirisha bangi kwenye basi Mbeya

Ndio wameuza kesi hapo wanasubiri mgao wao maana hapo zinaenda kutoka Hela hakuna kesi inayoenda mahakamani hapo zote zinaisha juu kwa juu
Case ikishakuwa public ivi, na hadi imefika kwa Rpc, hapo ni ngumu kuisolve kwa hela, RPC utampa sh. Ngapi, hapo wakapambane mahakamani, na kusiwepo na maelezo ya kukiri, siza certificate, tofauti na hapo watanyoa, au wakiri kosa walipe faini na kutengeneza mipango, Ila wanaenda kufungwa miaka 20 ,mungu awanusuru
 
In
Inasemwa kuwa ukitaka kufilisika au kutajirika ghafla jilipue kwa bangi and all kind of drugs. Yote mawili yanawezekana. Kupata au kukosa.
 
Tulikubaliana gari ikikamatwa na madawa ya kulevya ITAIFISHWE.

Hata kama hujakwenda shule unaona hiyo ni sawa?
Yaani umpe dereva gari lako la kukeba abiria halafu apakie begi la bangi gari litaifishwe
Hebu tumieni akili zenu vizuri!
 
Kamwambie yule aliesema nyumba ikikutwa na dawa za kulevya itaifishwe km anajua hata msoto wa kupaua nyumba Mbuzi yule somebody Lymo
Kwan hata anamjua na wew, ukiona mtu karopoka humu ujue hakuna ajuacho. Mim nisingemjibu
 
Hakuna kinachoshindikana
 
Hivi kati ya bangi na heroine/cocaine! Kipi kina madhara makubwa kwa watumiaji?
 
Hakuna kinachoshindikana
Nikweli,ila kumuonga RPC labda kesi ya kuanzia mamilion ya pesa, kama walishindwa kuyamaliza kwa askari wadogo,,mpka inaenda public kila mtu amejua,hapo wakapambane mahakamani tu kwa Nolle labda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…