Hakika ni mnafiku na mwenye tabia chafu mbilikimo yule.YULE KONDE ANAENDESHWA NA MIHEMKO NA KUTAKA KUONEWA HURUMA KUMBE NI MSHENZI MMOJA NA YEYE
MNAFIKI HUWA HAKAWII KUUMBUKA
Mbona mnamshambulia kafanyaje?Hakika ni mnafiku na mwenye tabia chafu mbilikimo yule.
kwa WAtumishi tu wa kawaida ndani ya wizara.Mtoto wa Will Smith, Jaden Smith, amefungua mgahawa wake wa "I Love You Restaurant”—mahali ambapo watu wenye uhitaji na wanaokabiliwa na ukosefu wa makazi wanaweza kula BURE.
Sasa, mtu yeyote ambaye hawezi kumudu chakula anaweza kupata kifungua kinywa, chakula cha mchana na chakula cha jioni bure kabisa—hakuna maswali yanayoulizwa.
Muigizaji huyo kijana na msanii alliyepitia changamoto nyingi za kimaisha aliandika mtazamo wake kwenye page yake:
"Siwezi kuwa na mamilioni katika benki wakati kuna watu mitaani ambao hawana chakula."
Kila mtu asiye na makazi katika jamii yake sasa ana nafasi ya kupata chakula kizuri bure tena kikomo na ni chakula bora.
Tendo la kweli la wema na mshikamano. ❤️
Hongera Jaden ... Maisha yamekufunza mengi na sasa umekua
Konde alijaribu lakini alishindwa pengine kutokana na maandalizi, watendaji na mazingiraView attachment 3358775
Mivinjeni AFRICABLE anatoa msosi free of chargeKibongobongo yapo meneo watu hula bure na wengine hugawa pesa kwa wahitaji kila wiki.
Yaah pia ilala mtaa wa sharif shamba , kuna madon wanatoa pesa bure kwa kina mama wasiojiweza.Mivinjeni AFRICABLE anatoa msosi free of charge
na hiyo kibongobongo ukifanya hayo sio ajabu watakutuhumu eti una jambo lako gizani au unataka kuwatoa kafara.!Kibongobongo yapo meneo watu hula bure na wengine hugawa pesa kwa wahitaji kila wiki.
Watu wanaenda kuchukua hiyo misaada na hiyo misosi watu wanakula.na hiyo kibongobongo ukifanya hayo sio ajabu watakutuhumu eti una jambo lako gizani au unataka kuwatoa kafara.!
Kumsema muislam mwenzako ni ukafirYULE KONDE ANAENDESHWA NA MIHEMKO NA KUTAKA KUONEWA HURUMA KUMBE NI MSHENZI MMOJA NA YEYE
MNAFIKI HUWA HAKAWII KUUMBUKA
We seriously... Nipe location vzrYaah pia ilala mtaa wa sharif shamba , kuna madon wanatoa pesa bure kwa kina mama wasiojiweza.
Akina mama na wazee tu, we kijana kapambaneWe seriously... Nipe location vzr
Hudhuria ibada katika kanisa la Kigango, Parokia au jimbo lolote lililo karibu na wewe ili uweze kuchota neema na baraka za Bwana Wetu Yesu kristuna hiyo kibongobongo ukifanya hayo sio ajabu watakutuhumu eti una jambo lako gizani au unataka kuwatoa kafara.!
hongera zake. unasema konde huyuhuyu au?Mtoto wa Will Smith, Jaden Smith, amefungua mgahawa wake wa "I Love You Restaurant”—mahali ambapo watu wenye uhitaji na wanaokabiliwa na ukosefu wa makazi wanaweza kula BURE.
Sasa, mtu yeyote ambaye hawezi kumudu chakula anaweza kupata kifungua kinywa, chakula cha mchana na chakula cha jioni bure kabisa—hakuna maswali yanayoulizwa.
Muigizaji huyo kijana na msanii alliyepitia changamoto nyingi za kimaisha aliandika mtazamo wake kwenye page yake:
"Siwezi kuwa na mamilioni katika benki wakati kuna watu mitaani ambao hawana chakula."
Kila mtu asiye na makazi katika jamii yake sasa ana nafasi ya kupata chakula kizuri bure tena kikomo na ni chakula bora.
Tendo la kweli la wema na mshikamano. [emoji3590]
Hongera Jaden ... Maisha yamekufunza mengi na sasa umekua
Konde alijaribu lakini alishindwa pengine kutokana na maandalizi, watendaji na mazingiraView attachment 3358775