Shida kubwa ipo kwenye katiba ya nchi ambayo inakipendelea zaidi chama tawala... CCM ina lila kitu lakini bado inaogopa vyama vingi ...
Issue ipo kwenye katiba ... na hiyo ni kaz ya wanasiasa wote kudai katiba yenye uwanja sawa wa ushindani... vinginevyo kilio cha wanasiasa wa upinzani nchi hi hakitaisha lakini pia Wale wa CCM wanoona hawajatendewa haki kwenye maamuzi ndani ya chama chao wanakosa option...