Engager
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 1,522
- 3,255
Jamani kondom si nikinga dhid ya mambo yetu yale? Kitu ambacho huwa kinanshangaza mimi ni kwanini mtu akionekana ana kondom ama kaishika ama akaidondosha mbele za watu, watu wanamshangaa sana utafikiri na ktu kgeni sana wakati wengi wetu tunavtumia vitu hivi mara kwa mara tu?