Jamani kondom si nikinga dhid ya mambo yetu yale? Kitu ambacho huwa kinanshangaza mimi ni kwanini mtu akionekana ana kondom ama kaishika ama akaidondosha mbele za watu, watu wanamshangaa sana utafikiri na ktu kgeni sana wakati wengi wetu tunavtumia vitu hivi mara kwa mara tu?
Ni tendo la matusi ?hapana ni tendo la ndoa kwa wanandoa na ni usinzi kwa wasio wanandoa!sababu inahusiana na tendo la MATUSI hahahaha
Watu wanachukulia tendo zima la ngono ni aibu ndio maana wengi wetu wanafanya huku taa wamezima, wengine wamefumba macho
Umeona eeeeeeeNaona ni kutokuelewa tu!
ni kama walokole na mnywa pombe
hahaha.. ni sawa na binti unapoolewa ukipata mimba unaogopa
kwenda salimia maana ina prove kua you are really doing it!
But ni kasumba tu mbovu ila naona inapungua na watu kabadilika
maana nime observe wakaka wengi wanabeba kwenye wallets as well
as wadada... ingawa zinakaa kama accessories hazitumiki...
Mara nyingi hutumika kwa "shughuli ya ukingaji",ni nadra sana kwa wanandoa kutumia, kwa hivyo hata ukiwa mtu mzima huonekana wewe unaenda kucheza 'AWAY' game, ndo hapo macho yoote waaahhh
Watu wanachukulia tendo zima la ngono ni aibu ndio maana wengi wetu wanafanya huku taa wamezima, wengine wamefumba macho
kwa sababu wanajua unakwenda kufanya ngono na ngono wengi tunachukulia ni tendo la siri...kwa hyo lazma wakushangae
Jaribu uonealaaa, kumbe wale wanaofunga macho ukiwazimia taa ... watayafungua!!!!