Fordy the gr8t
Member
- Mar 10, 2017
- 45
- 25
Wana jamii forum naombeni msaada mi nikilala na mwanamke nikitumia mpira/kondom nakuwa napata shida sana wakati kitendo kinaendelea
Huwa najisikia mwili/uboo una banwa sana na ninashindwa kukojoa, nakuwa natumia nguvu nyingi kukojoa hali amabyo magor mawili nakuwa hoi.
Ushauri wenu nitumie aina gani ya mpira amabo haubani sana?, ama nifanyeje? Maana haka kamchezo kazuri kweli