Fordy the gr8t
Member
- Mar 10, 2017
- 45
- 25
HahaaTumia mpira ulotumika kwenye finali ya UEFA 2017
Ukiwa unaumia bado tumia ule wa EPL ulioipa Chelsea ubingwa
ikishindikana kabisa Usitumie sasa, make hii mipira ya Simba na Yanga si mizuri mkuu.
Mi natumia Rough Rider mzuri huooooo .
Michepuko je?Chakufanya owa mke hutohitaji kondom tena maishani.[emoji111]
Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ila kupatikana kwake ishuMkuu kwani condom za kike si zipo? Hao unaoshiriki nao hakikisha wanatumia ili uone kama nazo zitakupa matokeo sawa.
NB: magonjwa ni mengi mkuu. Tulizana.
Na kila mtu anakapenda.."Maana haka kamchezo kazuri kweli"
Aseeeh,
Hahahaha ndio hivyo mkuuNa kila mtu anakapenda..
Michepuko sio dili[emoji111]Michepuko je?
Lakini njia kuu foleni