KONDOM

Eeeh hako kamchezo kila mtu anakapenda, ''nanukuu''
 
Tumia mpira ulotumika kwenye finali ya UEFA 2017
Ukiwa unaumia bado tumia ule wa EPL ulioipa Chelsea ubingwa
ikishindikana kabisa Usitumie sasa, make hii mipira ya Simba na Yanga si mizuri mkuu.

Mi natumia Rough Rider mzuri huooooo .
Mkuu umenikumbusha Mpira uliotumika kwa Madiba JABULANI...!!

Lengo lilikuwa wahusika wafunge MAGOLI MENGI iwezekanavyo....!!

Kuwa na Mpenzi mmoja...hutahitaji KONDOM..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…