Kondoms, blueband na baadhi ya bidhaa ni mbovu - Zitto

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
54,762
Reaction score
59,204
zitto yuko cloouds fm
anadai kuna baadhi ya bidhaa nyingi kama condoms zipo sokoni ,blue band, sabuni etc

TBS wamefanya uzembe bidhaa zilizoingizwa hazifai kwa matumizi...anadai bidhaa ni nyingi sana waliagiza zitekeketwe lakini agizo halikutekelezwa,,.........
 
Tanzania sijui kama kuna mtu atakuja kutukomboa kila tunaowapa kazi ya kututolea maamuzi wanazidi kutuchimbia shimo
 
Gasper ilikua ni typing error badala ya tbs akaandika tbc siku nyingine uwe unasoma thread zote usikurupuke kuandika
 
kwenye blue band nakubali kabisa....nimeshapishana nayo hiyo......
expire date bado sana lakini blue band ya kijani.......
 
Na baadhi ya sabuni zinachubua mikono wamama wengi wanalalamika
 
zitto yuko cloouds fm
anadai kuna baadhi ya bidhaa nyingi kama condoms zipo sokoni ,blue band, sabuni etc

TBS wamefanya uzembe bidhaa zilizoingizwa hazifai kwa matumizi...anadai bidhaa ni nyingi sana waliagiza zitekeketwe lakini agizo halikutekelezwa,,.........

kwaio yeye anaongea kama nani?
 
Mbunge halafu yuko kwenye kamati moja muhimu hivi

umeona sasa alivyo mnafiki uyu muhutu..kila siku kukimbilia kwenye media kulialia eti anaonewa..ivi anajionaje uyu mnafiki!?na anataka watu wamsifie tu akiwa kama nani.
 
una uhakika kuwa aliomba kwenda kwenye media?...kwa hio haya yote aliyoyasema unapingana nayo? sijakuelewa bado na hizo lawama ujue
 
umeona sasa alivyo mnafiki uyu muhutu..kila siku kukimbilia kwenye media kulialia eti anaonewa..ivi anajionaje uyu mnafiki!?na anataka watu wamsifie tu akiwa kama nani.

Id yako linaendana na ulichoandika
 
zitto yuko cloouds fm
anadai kuna baadhi ya bidhaa nyingi kama condoms zipo sokoni ,blue band, sabuni etc

TBS wamefanya uzembe bidhaa zilizoingizwa hazifai kwa matumizi...anadai bidhaa ni nyingi sana waliagiza zitekeketwe lakini agizo halikutekelezwa,,.........

Duh! Condoms?!

Tanzania bila UKIMWI itawezekana kweli?!
 
Kamanda kamanda nimekusoma, we endelea kupambana nao mpaka warekebishe t.b.s wanataka tuangamieee haoooo?
 
Back
Top Bottom