Babu Mshana 😂Ilipasuka wakati risasi zinatoka! Sipati picha hiyo velocity ilikuwaje😀
Kama wakati wa kupokea mzigo macho yaligeuka juu jiandae kuwa baba kijacho.. Lakini kama yaligeuka chini kapime😅!. Ila kama yaligeukia pembeni hiyo ni offside!
Experience matters😀Babu Mshana 😂
Sahihi😁Experience matters😀
Asante mkuu nishapoa yaan
Hahaha duh sijajua itakuajeAunt tunae hatuna😀😀😀