Ni kweli kwamba kondomu zinasaidia kupunguza maambukizi ya magonjwa ya zinaa na ukimwi. Lakini watu wengi matumizi. sahihi ya kondomu hatuyajui.
1.Mtu unanyonya sehemu za siri then wakati wa tendo lenyewe unavaa kondomu hapo kwa kweli ulinzi ni kidogo sana.
2.Kwa mwanaume unashika sehemu za mwanamke kwa mda mrefu then mikono hiyohiyo ndio unatumia kuvalia kondomu kama ana ugonjwa wa zinaa ulinzi hapo ni kidogo.
3.kugeuza kondomu nje ndani...hii usababisha kondomu kupasuka.
Tuchukue hatua maambukizi ya magonjwa ya ziraa mara kwa mara yanaleta hatari ya kupata HIV.