Kondomu niliyotumia inavuja, kichwa kinawaka moto

Kondomu niliyotumia inavuja, kichwa kinawaka moto

Mwikokolo

New Member
Joined
Sep 13, 2022
Posts
3
Reaction score
3
Habari wakubwa,

Nimekuja kwenu nipate ushauri, maana kichwa kinawaka moto.

Mimi ni mtumiaji wa kondomu miaka 6 sasa sijapiga dry.

Jana nilikuwa nasex na bidada nikiwa na kondomu zangu 3 mpyaa (DUME).

Mwanzo mpaka mwisho kondomu ilikuwa uumeni mpaka nakojoa, (nilitumia kondomu 3 ya mwisho ndio niliyopigia bao) nikaihifadhi mahala karibu na choo ili asubuhi nikaitupe maana choo ni cha kuflush, zitakwama.

Asubuhi nikaziendea ili nikazitupe nikapata udadisi kujua kama zilifanya kazi sahihi, maana niliona shahawa zinavuja!

Nilitia maji ndani ya kondomu 2 zilikuwa intact, ila moja ilitoa maji katika kitundu ukubwa wa pini, nilihamaki sana!

Mpaka sasa sijui kama wadudu washapenya au la!

Sielewi bandugu!
 
Sio kizembe hivo man
 
Uko salama kabisa punguza wasiwasi
 
Acha uzinzi. Hakika hautateseka
Ni kweli unachosema.... Ila kama hatuwezi kuacha ndio maana tunajilinda! Vip waliopo kwenye ndoa na wanapata maambukizi nao waache tendo la ndoa, Yeyote anaweza kuambukizwa Maana matendo ya mtu anayajua mtu mwenyewe!

Vema KUJILINDA
 
Uko salama kabisa punguza wasiwasi
Nilihamaki Sana Mkuu.... Nilipoziweka Kondomu kabla sijazitupa nilikuta Sisimizi wale wenye vichwa vikubwa nikawaza labda wametoboa Ila sisimizi anaweza kweli kutoboa Kondomu🤔🤔🤔
 
Km unasex na mtu hlf hamuaminiani kiivo ni afadhali utumie kondom imara kama zile rafuraida ivi na zingine ngumu ngumu kama izo. hiz nyngi zinazoingizwa kutoka nje. ni ghali kidogo adi elfu 3 au zaidi kidogo lakini una uhakika wa kutokukuletea hayo mazingaombwe. pia ni muhimu sana kuzingatia jinsi ya kutumia hasa kutoa hewa wkt unavaa kondom yenyew. afya kwanza!
 
Mnaotumia kondom mnapata lile joto la kwenye kile kinu?
 
Back
Top Bottom