Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,409
- 13,262
Ukitembelea ofisi nyingi za umma ukaingia vyooni utakuta box la kondom za bure limewekwa ukutani kwaajili ya wanaohitaji kuzitumia kufanya ngono kama ambavyo unaweza kukuta katika mabaa na nyumba za kulala wageni.
Sasa unaweza kujiuliza kwamba hivi humu maofisini watu pamoja na kazi wanafanya ngono pia kama kazi na dawa au wanaenda nazo nyumbani?
Kama ni kumalizana humo humo maofisini basi wake, waume za watu na watoto wa watu usalama wao ni mdogo sana.
Nafikiri ingefaa kuwa ni moja ya makosa makubwa sana ya kumfukuzisha mtu kazi endapo atatumia ofisi za umma kufanya ngono badala ya kazi.
Maoni yangu. Au nasema uwongo ndugu zanguni? Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu.