Nazjaz JF-Expert Member Joined Jan 20, 2011 Posts 7,730 Reaction score 9,088 Apr 29, 2011 #21 Huwa natembea na rough rider zangu banana flavor kwenye pochi, ukinitolea mikondom bomu nakupa zangu za ukweli, kama hutaki lala mbele.
Huwa natembea na rough rider zangu banana flavor kwenye pochi, ukinitolea mikondom bomu nakupa zangu za ukweli, kama hutaki lala mbele.
U uporoto01 JF-Expert Member Joined May 23, 2008 Posts 4,698 Reaction score 1,423 Apr 29, 2011 #22 Nazjaz said: Huwa natembea na rough rider zangu banana flavor kwenye pochi, ukinitolea mikondom bomu nakupa zangu za ukweli, kama hutaki lala mbele. Click to expand... Sio kweli Rough rider hazipo za flavour ya matunda.Na pia hizo za flavour za matunda ni kwa ajili ya Oral sex ili mwenza ahasi analamba tunda na sio imara katika mechi kali.
Nazjaz said: Huwa natembea na rough rider zangu banana flavor kwenye pochi, ukinitolea mikondom bomu nakupa zangu za ukweli, kama hutaki lala mbele. Click to expand... Sio kweli Rough rider hazipo za flavour ya matunda.Na pia hizo za flavour za matunda ni kwa ajili ya Oral sex ili mwenza ahasi analamba tunda na sio imara katika mechi kali.
Dr.Chichi JF-Expert Member Joined Apr 30, 2008 Posts 2,393 Reaction score 632 Apr 30, 2011 #23 Kaka nenda hospitali waambie wakupe condom za msd,ni imara kinoma although harufu yake ni strong
KIBURUDISHO JF-Expert Member Joined Mar 28, 2011 Posts 1,002 Reaction score 277 Apr 30, 2011 #24 Tena afadhali ya hizo za familia ndo usiseme bora uvae vile vimfuko vya plastic wanavyouzia maji ya kunywa pale k/koo
Tena afadhali ya hizo za familia ndo usiseme bora uvae vile vimfuko vya plastic wanavyouzia maji ya kunywa pale k/koo
K kilundilo Member Joined Aug 14, 2014 Posts 54 Reaction score 6 Aug 16, 2014 #25 nguluvisonzo said: Change to rough rider, ni imara mpenzi wako atajisikia Click to expand... Bei gani hzo
nguluvisonzo said: Change to rough rider, ni imara mpenzi wako atajisikia Click to expand... Bei gani hzo
chaUkucha JF-Expert Member Joined May 28, 2012 Posts 3,382 Reaction score 1,214 Aug 16, 2014 #26 piga kavu alafu toa nje!