Future president
Senior Member
- Dec 30, 2013
- 144
- 39
Kwa experience yangu ndogo na research yangu ambayo nimewakilisha sample ndogo ya jinsi ya kiume na kike,sample ilikuwa na total ya watu 20, kike 10 na kiume 10,nikagundua asilimia kubwa ya wanawake huwa hawaenjoy na matumizi ya kondom wakidai zinawaumiza na kuwaletea michubuko na fungus,ila wanaume wanasema wao wanaenjoy vyovyote vile,ila isipokuwa wanaume wawili tu walipinga wote matumizi haya,je ukimwi utaisha?epuka michepuko