Future president
Senior Member
- Dec 30, 2013
- 144
- 39
dini yangu hiniruhusu kuzini au kuua sasa kwanini nifanye dhambi mbili bora kuzini kuliko kutumia condom nikaua watoto furthermore condom hua inanibana
Dini yangu hiniruhusu kuzini au kuua sasa kwanini nifanye dhambi mbili bora kuzini kuliko kutumia condom nikaua watoto furthermore condom hua inanibana
Yap hii muhimu,they havr to agree ...uses of condoms z more important
Kwa experience yangu ndogo na research yangu ambayo nimewakilisha sample ndogo ya jinsi ya kiume na kike,sample ilikuwa na total ya watu 20, kike 10 na kiume 10,nikagundua asilimia kubwa ya wanawake huwa hawaenjoy na matumizi ya kondom wakidai zinawaumiza na kuwaletea michubuko na fungus,ila wanaume wanasema wao wanaenjoy vyovyote vile,ila isipokuwa wanaume wawili tu walipinga wote matumizi haya,je ukimwi utaisha?epuka michepuko
Hahahahahhhah wee noma unajipa promoDini yangu hiniruhusu kuzini au kuua sasa kwanini nifanye dhambi mbili bora kuzini kuliko kutumia condom nikaua watoto furthermore condom hua inanibana
Mimi thitumiagi kondom tangu mwaka 1999 nshagonga madem 159
na wote napigaga nyama kwa nyama!
sitakaa nitumie hayo makitu.
usihalalishe zinaa mdauDini yangu hiniruhusu kuzini au kuua sasa kwanini nifanye dhambi mbili bora kuzini kuliko kutumia condom nikaua watoto furthermore condom hua inanibana