Wakuu,nimefikiria juu ya wanyama wanaofugwa kwa ajili ya nyama na maziwa. Sijawahi kusikia kuhusu kondoo wa maziwa. Lakini wapo mbuzi wa maziwa na ng'ombe wa maziwa. Maziwa ya kondoo yana shida gani? Naomba kujuzwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.