S SEMKUNGA Member Joined Sep 8, 2013 Posts 63 Reaction score 5 Jul 11, 2014 #1 Wakuu,nimefikiria juu ya wanyama wanaofugwa kwa ajili ya nyama na maziwa. Sijawahi kusikia kuhusu kondoo wa maziwa. Lakini wapo mbuzi wa maziwa na ng'ombe wa maziwa. Maziwa ya kondoo yana shida gani? Naomba kujuzwa
Wakuu,nimefikiria juu ya wanyama wanaofugwa kwa ajili ya nyama na maziwa. Sijawahi kusikia kuhusu kondoo wa maziwa. Lakini wapo mbuzi wa maziwa na ng'ombe wa maziwa. Maziwa ya kondoo yana shida gani? Naomba kujuzwa
CHASHA FARMING JF-Expert Member Joined Jun 4, 2011 Posts 7,872 Reaction score 9,263 Jul 11, 2014 #2 Wapo ila kwa Tanzania sijawaona ila kwa Kenya kuna aina fulana ya Kondoo niliona ni ya kutoka South Africa ni wazuri sana
Wapo ila kwa Tanzania sijawaona ila kwa Kenya kuna aina fulana ya Kondoo niliona ni ya kutoka South Africa ni wazuri sana