Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa ni Redio Imani,redio ya Waislamu iliyojaa rongorongo na UDINI wa kubagua dini nyingine hasa Ukristo.
Sina muda wa KUHUDHURIA wala KUSIKILIZA upuuzi utakaozungumzwa pale. Watu watakaochangia naamini ni MASHEIKH na MAMUFTI ambao upeo wao katika nyanja nyingi ni finyu sana.
Ni bora ungeenda kusikiliza ili u-prove kama wanabagua wakristo??Hawa ni Redio Imani,redio ya Waislamu iliyojaa rongorongo na UDINI wa kubagua dini nyingine hasa Ukristo.
Sina muda wa KUHUDHURIA wala KUSIKILIZA upuuzi utakaozungumzwa pale. Watu watakaochangia naamini ni MASHEIKH na MAMUFTI ambao upeo wao katika nyanja nyingi ni finyu sana.