Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
nafahamu ila nimezingatia ProtokaliUsisahau uwepo wa Mhe. John Heche
Mkuu ilikuaje TAL hakwenda Mwanza? Mbeya anakuja lini?
Ratiba ya Nchi inaonyesha kwamba Mwanza kuna kongamano la BAVICHA Jumapili hii na litahutubiwa na Katibu Mkuu wa chama Mhe. John Mnyika
Ewe kijana wa Mwanza hutakiwi kukosa kongamano hili hasa ikizingatiwa kwamba , Bavicha ndio Taasisi bora kabisa ya vijana kwa sasa barani Africa , njoo upate madini yatakayokusaidia katika maisha yako yote yaliyosalia hapa duniani .
Mwanza amefika , ratiba ya Mbeya utafahamishwaMkuu ilikuaje TAL hakwenda Mwanza? Mbeya anakuja lini?
Wanafikili kishinda Urais ni kama kuokota dodo chini ya muembe! Rais wao atakuwa rais wa JF tu l!!Lipueni tu,lakini kura hampati.Hamuwezi kuzunguka nchi nzima kutukana na kudhalilisha kiongozi wetu halafu tuwachague.Mwanza hampati hata diwani mmoja.
Kabisa.Wanafikili kishinda Urais ni kama kuokota dodo chini ya muembe! Rais wao atakuwa rais wa JF tu l!!
Rudi shule ukajifunze Kuandika na Kusoma Kiswahili tuuu kizungu naona kinakusumbua zaidi!Wanafikili kishinda Urais ni kama kuokota dodo chini ya muembe! Rais wao atakuwa rais wa JF tu l!!
Lipueni tu,lakini kura hampati.Hamuwezi kuzunguka nchi nzima kutukana na kudhalilisha kiongozi wetu halafu tuwachague.Mwanza hampati hata diwani mmoja.
Ratiba yangu ikiruhusu nitakuwepo
Ratiba ya Nchi inaonyesha kwamba Mwanza kuna kongamano la BAVICHA Jumapili hii na litahutubiwa na Katibu Mkuu wa chama Mhe. John Mnyika
Ewe kijana wa Mwanza hutakiwi kukosa kongamano hili hasa ikizingatiwa kwamba , Bavicha ndio Taasisi bora kabisa ya vijana kwa sasa barani Africa , njoo upate madini yatakayokusaidia katika maisha yako yote yaliyosalia hapa duniani .
Ulikuwepo Uhuru jana ?Lipueni tu,lakini kura hampati.Hamuwezi kuzunguka nchi nzima kutukana na kudhalilisha kiongozi wetu halafu tuwachague.Mwanza hampati hata diwani mmoja.
Point yako iko wapi hapa mkuu?Ulikuwepo Uhuru jana ?
Ww dada acha umbea!Lipueni tu,lakini kura hampati.Hamuwezi kuzunguka nchi nzima kutukana na kudhalilisha kiongozi wetu halafu tuwachague.Mwanza hampati hata diwani mmoja.
Vijana wazalendo wa taifa hili wanaenda kupikwa na magwiji wa siasa za upinzani Tanganyika na Zanzibar