Waandaaji hawatuambii professional qualifications za wazungumzaji wao, unashtukia tu mtu kaamka anasema anawakilisha maoni ya Wazanzibar kuhusu Muungano! Una qualifications gani wewe za kusimama mbele yetu kuongelea Katiba? Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba nae anasema, kuhusu Muungano, nia yao ni kuuboresha sio kuuvunja, unajuaje watu hawataki kuuvunja? Achia yafanyike majadiliano huru!