Kongamano la katiba jumamosi hii

Kongamano la katiba jumamosi hii

AMARIDONG

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2010
Posts
2,501
Reaction score
185
KUTAKUWA NA KONGAMANO LA KATIBA JUMAMOSI HII NKURUMAH UDSM LAKINI WASEMAJI KAMA NI WACHOVU SANA YAANI SAMATTA NA JAMAA MMOJA WA LHRC MHH NAPATA MASHAKA KAMA LITAFANA

ila wadau mwende mtupe habari
 
Usiangalie tu wasemji mimi na wewe na wengine tutakoenda tutaongeza pia ubora wa kongamano kwa mawazo yetu mkuu. Inaanza saa ngapi hadi saa ngapi?
 
lITAANZA SAA TATU KAMILI MPAKA SAA NANE MCHANA

haya na twende tukaongee Mkuu
 
lITAANZA SAA TATU KAMILI MPAKA SAA NANE MCHANA

haya na twende tukaongee Mkuu

Mwenyekiti wa UDASA dr Kitila Mkumbo aliweka thread hapa jf kuwa itakuwa saa4 na kuendelea. Pia vyama vya siasa vitapewa dk15 kueleza matakwa yao. Ni jambo la msingi kuhudhuria.
 
mwenyekiti wa udasa dr kitila mkumbo aliweka thread hapa jf kuwa itakuwa saa4 na kuendelea. Pia vyama vya siasa vitapewa dk15 kueleza matakwa yao. Ni jambo la msingi kuhudhuria.

najua ni saa nne nimesema saa tatu ili muwahi
 
Hapana LRHC siku hizi wako juu sana usiombe; labda tu huyo Samatta.
KUTAKUWA NA KONGAMANO LA KATIBA JUMAMOSI HII NKURUMAH UDSM LAKINI WASEMAJI KAMA NI WACHOVU SANA YAANI SAMATTA NA JAMAA MMOJA WA LHRC MHH NAPATA MASHAKA KAMA LITAFANA

ila wadau mwende mtupe habari
 
nitakuwepo kama mwenyezi atajalia siku hiyo kufika salama.
 
Back
Top Bottom