Kongamano la Katiba mpya lafanyika Tarime kwa amani na utulivu

Naomba kuelimishwa tafadhali,

Kwenye ayo makongamano inatolewa elimu kuhusu umuhimu wa katiba mpya? Nakama ndio vipi kuhusu wasio wanachadema na wasio na vyama? Wao wanafikiwaje ili wapate elimu iyo?

Kuna mikakati ipi kuhakikisha wananchi wote kiujumla wanaelewa iki kinachoitwa hitaji lao? Maana hili swala la katiba mpya linajadiliwa sana mitandaoni ila ukitembelea sehemu ambazo watu hukusanyika kwa wingi hili jambo wananchi hawalichukulii kama kipaumbele na nijambo linaloonekana kutokuwa na uzito kabisaa.
 
Kila mtanzania anataka katiba mpya , ila wananchi hawajadili mitaani kukwepa kutekwa
 
Polisi inaweza kutumia picha hizi kuwatafuta kwa kusababisha vurugu na uharibifu wa mali siku ya usafi.
 
Hats UDSM katika kitivo cha Sheri's Kuna majadiliano Kila simu kuhusu Katiba,hakuna amani inayovurugika.
Baada ya muda mfupi wahubiri wengi watapanda kwenye majukwaa kutoa kbutba,ambayo pia ni Katiba.
 
Hilo kongamano lilifanyika kwenye kibanda umiza?
 
Safi Chadema ndio inatakiwa iwe hivyo,mtu mwenye akili ndogo ni wa kuzungushwa tu maana hana uwezo wa kushindana na akili kubwa

Sasa tuwaulize intelijensia ya Polisi ambayo huwa wanaisema leo illikuwa wapi?

Itakuwa ilikuwa bagamoyo kwenye Royal Palm
 

Kwa umati huu tunatosha sana kupata katiba mpya:

Katiba Mpya: Mapambano yako katika Hatua za Mwisho

"Ni wazi kuwa hayupo mtanzania mwenye akili timamu anayeweza kuyapinga mahitajio ya katiba mpya au hata kutokuwa sehemu ya jitihada hizo.

Wenye maslahi na mfumo uliopo hatuna haja ya kupoteza nao muda kujaribu kuwaelimisha. Hao ndiyo walio kizingiti pekee."
 
Chadema imo mioyoni mwa Watanzania hiyo kuiua kama wanavyotaka maccm KAMWE HAITAWEZEKANA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…