Kongamano la Katiba mpya lafanyika Tarime kwa amani na utulivu

Hakaob
Safi Chadema ndio inatakiwa iwe hivyo,mtu mwenye akili ndogo ni wa kuzungushwa tu maana hana uwezo wa kushindana na akili kubwa

Sasa tuwaulize intelijensia ya Polisi ambayo huwa wanaisema leo illikuwa wapi?
Hako ni ka kikao ka ndani ka chadema, sasa wafurushwe kwa sababu gani?
Wakitaka wafurushwe waanze kuita watu mitaani waone kama hawatakutana na interejensia. 😂😂😂😂
 
Chadema imo mioyoni mwa Watanzania hiyo kuiua kama wanavyotaka maccm KAMWE HAITAWEZEKANA.

Wingi wetu na utayari wetu wa kuyajaza magereza yao kutatuvusha. Inshallah.
 
Makada wa CCM ni waoga mno katika kukabiliana na hoja kinzani. Licha ya kuwepo uhalali wa kisheria hapa nchini wa kuendesha shughuli za kisiasa, wao hutumia nguvu za dola ili kuweza kuficha aibu zao.

Hawa ni mfano halisi wa mbwa koko aliyeingiwa na woga na hata kuuficha mkia wake chini ya makalio yake. Ni aibu na fedheha kubwa kwa CCM kuvinyima vyama shindani haki yao ya kikatiba katika kuendesha shughuli zao za kisiasa katika majukwaa ya wazi na hata pia katika mikutano ya ndani.
 
Safi Chadema ndio inatakiwa iwe hivyo,mtu mwenye akili ndogo ni wa kuzungushwa tu maana hana uwezo wa kushindana na akili kubwa

Sasa tuwaulize intelijensia ya Polisi ambayo huwa wanaisema leo illikuwa wapi?
Picha ya Zaman sana hiyo Ushahidi rahisi kabisa hawajavaa Barakoa
Vikao Vyote vya Chadema Kwa Sasa huwa wanavaa Barakoa

Mleta mada huwa Muongo sana
 
Safiii sanaaaa..
Intelijensia ya Polisi leo Chaliii..
 
Safi Chadema ndio inatakiwa iwe hivyo,mtu mwenye akili ndogo ni wa kuzungushwa tu maana hana uwezo wa kushindana na akili kubwa

Sasa tuwaulize intelijensia ya Polisi ambayo huwa wanaisema leo illikuwa wapi?
Wanafiki wameumbuka.
 
Katiba mpya mliikataa nyie wenyewe Chadema mkiongozwa na Mbowe akajifanya kuunda Ukawa. Leo mnatafuta bahati mliyochezea!

Tambueni lila jambo na wakati wake. Katiba mpya siyo ajenda yetu sisi wananchi kwa wakati huu.
Nyie wananchi gani hao ambao eti katiba mpya sio ajenda yenu, je sisi tunaohitaji hiyo katiba mpya ni nani kama sio wananchi.

Acha unafiki, kama hutaki katiba mpya kwa maslahi yako basi ni wewe, usitusemee wengine.
 
Siku zote kipimo cha ridhaa ya wananchi ni kura. Ajenda ya katiba mpya haikuwepo kwenye ilani ya uchaguzi ya CCM ya 2020 na wananchi kwa mamilioni mengi wakaichagua ilani hiyo isiyo na ajenda ya katiba mpya.

Hivyo huhitaji akili kubwa kung'amua kuwa hili siyo ajenda ya wananchi. Sisi wananchi kwa sasa tunahitaji maji, afya, elimu bora, miundombinu ya uhakika na maisha bora.
 
Namuomba Mungu niwe hai siku tutakapo yatoa maccm Madarakani ama kwa sanduku la kura,au risasi!
Maccm yote yanastahili kuchinjwa kabisa
 
Hats UDSM katika kitivo cha Sheri's Kuna majadiliano Kila simu kuhusu Katiba,hakuna amani inayovurugika.
Baada ya muda mfupi wahubiri wengi watapanda kwenye majukwaa kutoa kbutba,ambayo pia ni Katiba.
Kwani hayo majadiliano yanaitishwa na vyama vya siasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…