Yaani ule uhuni aliyofanya Magufuli na vikaragosi vyake ndio unaita uchaguzi na ndio mnauchukulia kama kipimo cha kukubalika, ngojeni Mungu aitwe Mungu kwani kazi yake haina makosa.Siku zote kipimo cha ridhaa ya wananchi ni kura. Ajenda ya katiba mpya haikuwepo kwenye ilani ya uchaguzi ya CCM ya 2020 na wananchi kwa mamilioni mengi wakaichagua ilani hiyo isiyo na ajenda ya katiba mpya.
Hivyo huhitaji akili kubwa kung'amua kuwa hili siyo ajenda ya wananchi. Sisi wananchi kwa sasa tunahitaji maji, afya, elimu bora, miundombinu ya uhakika na maisha bora.
Kazi ya Mungu haina makosa ndiyo maana ameniruhusu Mbowe awe gerezani kwa ugaidi aliofanya.Yaani ule uhuni aliyofanya Magufuli na vikaragosi vyake ndio unaita uchaguzi na ndio mnauchukulia kama kipimo cha kukubalika, ngojeni Mungu aitwe Mungu kwani kazi yake haina makosa.
π€£π€£π€£π€£ Ulikuwemo kiongozi?Kwa hivyo polisi huwa busy kutupa mabomu ya machozi kuvuruga vikao vya ukoo?
Hawa makamanda Mungu awape Kheri maishaniSiku zote tumesema humu na kurudia mara nyingi sana kwamba , HAKUNA MAHALI POPOTE KATIKA DUNIA HII AMBAPO SHETANI ALIWAHI KUMSHINDA MUNGU , japo wapagani wametupuuza mara zote lakini ukweli huu hauwezi kupingwa .
Pamoja na RC wa Mara kumwaga majeshi yote barabarani na mitaani , ikiwa ni pamoja na kulinda ofisi ya Chadema Musoma Mjini kwa masaa yote, lakini Kongamano la Katiba Mpya limefana kupita maelezo huko Tarime , halafu hakuna amani yoyote iliyotoweka , ilikuwa mada juu ya mada , hawa wanaosema kongamano linavuruga amani ni WAONGO.
Ushahidi huu hapa
View attachment 1924002View attachment 1924001View attachment 1924000
Hamza kada wa ccm polisi wamethibitisha pasi na shaka alikuwa GaidiKazi ya Mungu haina makosa ndiyo maana ameniruhusu Mbowe awe gerezani kwa ugaidi aliofanya.
Hamza amepata stahiki yake na Mbowe akipata stahiki yake ya miaka 30 jela itakuwa safi. Maendeleo hayana vyama na ugaidi hauna vyama.Hamza kada wa ccm polisi wamethibitisha pasi na shaka alikuwa Gaidi
Ni kikao cha familia ambacho sisiemu wanazungushana na wanafamilia miaka yote wanasema kikifanyika kitavuruga amani ya TAIFAHivyi hili ni kongamano au kikao Cha ukoo?
ππππNi kikao cha familia ambacho sisiemu wanazungushana na wanafamilia miaka yote wanasema kikifanyika kitavuruga amani ya TAIFA
Kama ccm na serikali Mara tozo Mara petrol Mara sir hamzaNgoja tupate uhakika maana nyie Ufipa hamuamimiki kabisa!