Shabani Ajaha
Member
- Aug 18, 2021
- 78
- 60
🗓️20 Aprili, 2024
📍Gymkhana, Zanzibar.
Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi chini ya Mwenyekiti wake Komredi Mohammed Ali Kawaida (MCC) kuelekea miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wemeandaa Kongamano kubwa la Miaka 60 ya Jamuri ya Muungano wa Tanzania litakalofanyika katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar tarehe 21 Aprili, 2024 kuanzia saa 3;00 Asubuhi.
Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi tunawaalika wananchi wote nchini hususani vijana kushiriki nasi kikamilifu katika kongamano hili, twende tujifunze mambo mbalimbali ya Muungano wetu, Historia yetu, Mafanikio yetu na thamani kubwa iliyopo katika Muungano wetu huu ambao ni wa mfano na wa kuigwa barani Afrika.
#KulindaNaKujengaUjamaa
#SisiNaMamaMleziWaWana
#Kaziiendelee
Imetolewa na;
Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa