Akizungumza katika kongamano hilo, Makonda amesema mkoa huo uliomba ridhaa ya Bunge kwamba wasanii wapewe mikopo isiyo na riba kupitia fedha za manispaa lengo ni kuwawezesha kuendesha shughuli zao
Madakitari na wataalamu wengine wanakopeshwa na Bodi ya Mikopo na kulipa deni kwa riba kubwa sana isiyolipika, leo watoa burudani wakopeshwe bila riba, ama kweli Tanzania yangu inaungua kwa joto la mwezi badala ya jua