Madereva wa Serikali TZ
New Member
- Aug 12, 2024
- 1
- 1
Chama cha Madereva wa Serikali Tanzania kimeandaa kongamano la Madereva wa Serikali litakalofanyika ukumbe wa AICC kuanzia Agosti 19-23, 2024 ambapo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atahuduria kama mgeni rasmi pamoja na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa.
Dereva wa Serikali unaweza kujisajili kupitia link hii: eGov TSMS.
Dereva wa Serikali unaweza kujisajili kupitia link hii: eGov TSMS.