Kongo: Watano wa familia moja wafariki kwa kula chakula kilichodaiwa kuangukiwa na mjusi

Kongo: Watano wa familia moja wafariki kwa kula chakula kilichodaiwa kuangukiwa na mjusi

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Watu watano wa familia moja ,baba, mama na watoto watatu wamefariki dunia kwa kula chakula chenye sumu iliyotokana na mdudu mwenye sumu jamii ya mjusi aliyedondokea kwenye chakula.

Tukio hilo limetokea katika mji wa Kalemii nchini Kongo baada ya watu wa familia hiyo kula mchuzi unaosadikika kuwa na sumu ya mdudu huyo ambayo ilidondokea kwenye chakula kilichoachwa wazi wakati kipo jikoni.
 
Kule jela ukionekana tatizo, Wamba wanaua mjusi wanakuwekea kwenye maji, utaumwa mpaka basi
 
Back
Top Bottom