Kongole Bugando Medical Center

TwinsOrg_88

Member
Joined
Apr 4, 2024
Posts
5
Reaction score
2
Leo nimekuja kuipa Kongole Hospitali ya Rufaa kanda ya ziwa Bugando hususani kwenye idara ya kijamii na huduma nje ya mfumo wa matibabu, Hapa nazungumzia Huduma rafiki, safi, salama na nafuu ya vyakula inayotolewa ndani ya BMC kwa wateja wao.

Tumezoea kuona sehemu mbalimbali zitolewazo huduma (Chakula na Vinywaji) kwa jamii kua na gharama ambazo sio rafiki kwa wapewa huduma lakini hii nimeona tofauti kabisa ndan ya hosptali ya Bugando, huduma ya vyakula na vinywaji ni bei rafiki sana Mf, kuna chakula kuanzia Elfu Moja ndani ya Canteen ya hospital hiyo.

Kongole sana Uongozi wa BMC kwa kwa kuwadhibiti wafanya biashara wa hapo ndani kuwa na bei za kizalendo kabisa.
 

Attachments

  • IMG20240716180858.jpg
    4 MB · Views: 11
  • IMG20240716181015.jpg
    4.9 MB · Views: 9
Mjomba hizo ni Canteen za hao wanafunzi wajanja huwa tunamalizia mambo hapo ila Hongera kwa kusanuka mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…