Kongole Khalifa wa The Chanzo

Huyu Mwamba
 
Huyu ndio ajibu hoja za Askofu Bagonza na Padre Kitima?

Ndugu zangu hawa jamaa wanafedhehesha sana dini yenu.
Ukiwa chawa hata elimu haiwezi saidia kitu kabisa, utaiweka kando na kuendekeza uchawa. Huyu jamaa inapaswa kuzabuliwa kofi hapohapo akiongea hayo. Yaani elimu yake kubwa ya dini ambayo ameipata kwa kusomaa vyuo vya kimataifa anakuja kuongea upuuzi huo.

Yaani angeongea hata kwenye kongamano kubwa la kiislamu. Hata chuoa angepigwa. Uislamu haujali una mamlak gani ukizingua unazinguliwa. Shida kayasemea huko kwe ye uchawa wake
 
Huyu Khalifa Said. Ni mwanzilishi mwenza na Editor-in-Chief wa The Chanzo, ni Kijana makini sana hasa anapokutana na wahuni kama wakina Balile

Mwenye suti ni Mwandishi wa Habari Deodatus Balile pia ni mhariri wa habari, hapa anahaririwa na Khalifa.

Odemba angechelewa kidogo Balile angepigwa hadi ngumi.
 

Kila la kheri kwake
 
Katiika washirika 4 wa mdahalo , watatu waliongea mambo ya maana, Balile aliadhirika

1. Balile anasema kazi ya Waandishi wa habari 'ni kuonyesha Panya alipo si kukamata''.
Dakika 5 baadaye anasema Waandishi wa habari wa set agenda ya maridhiano.
Ni kana kwamba hiyo si kukamata panya ni wajibu wao. Nani alisema kazi yao ni kusimamia maridhiano!

Kwa wasioujua Balile ni mmoja wa wenyeviti wa kamati ya kusukuma maridhiano akiwemo Odero.
Mijadala ya maridhiano yeye ndiye kiongozi na kupitia hapo anapona njaa!

2. Anaambiwa mchakato wa kupata majaji Kenya na Tanzania ni tofauti, hajui tofauti, kwa kutojua au uchawa

3. Anaulizwa aliandika nini kuhusu Mo29 anasema nyumba ya serikali iliyoungua akisindikizwa na Polisi.
Akiulizwa kama aliona maiti, anasema yeye si Daktari. Balile alijua nyumba inaungua bila kuwa '' fire fighter'' hajui tofauti ya mtu aliyelala au kufa

3. Balile anasema Tume ya Chande na Lila itabaini waliochochea ! Balile hajiulizi nani alipiga watu risasi

4. Kuhusu utekaji Balile anatetea hoja mbili za CCM na Polisi kwa kuchagua mifano ya hovyo
Balile haelezi maelfu ya waliopotea akiwemo mwenezi wa CCM na Wapinzani

Balile haamini kama kuna utekaji hata kama Tume ya Chande imesema ni moja ya sababu
Balile anaamini wanaoptea ni sababu za mapenzi!! Aisee

5. Balile anaamini Tume ya Chande ilimaliza kazi ingawa hajaona ripoti nzima na wala hakujishughulisha kuuliza

Huyu mtu jana kafungua kichwa chake watu wameona kina nini! Mwenyekiti wa TEF! Nchi hii ina matatizo mengi

JokaKuu
 
Hapa umegusia vitu muhimu sana mkuu. Mimi naona hizi hoja zako ungeanzisha uzi ili tuwe na mjadala mpana katika hili suala.
 
"Tatizo Njaa" - Hashimu Rungwe Spunda 2015
 
Haya mtekeni na huyu bàsi roho zenu zifurahi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…