KAGAMEE
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 4,457
- 5,454
Sina haja na salamu.
Hakuna asiyejua kama mimi ni Shabiki kindakindaki ya YANGA SC.
1.Yanga yangu kimataifa inapwaya sana.Jana tumezubaa mpira hata haujavuka mstari refa akaita kati wachezaji plus Captain wamezubaa tu kama yale yale ya Mamelod hakuna hata kumlalamikia refa.
Kama umeona game ya leo ya Simba utaona utofauti kwenye hili.
Kongole kwa viongozi
2.Mbinu nje ya Uwanja.
Makolo wapo viwango vya juu sana linapokuja suala la point tatu nyumbani.Tumeona refa alivyokuwa upande wao kwa kila kitu.Yale hayatokei kwa bahati mbaya ni mipango inapangwa na vichwa vilivyojaa mawazo ya UBAYA UBWELA.Mtabaki mnamlalamikia refa wenu wao point 3 washaweka kapuni na kusepa.Mtajua wenyewe.
Yanga yangu hiyo level hawajafikia ndo maana wanavyongwa tu hata home na marefa.
3.Intesity ya mchezo inakuwa juu sana mechi za home.Yanga yangu imekuwa mdembwedo hata kwa mkapa.Wachezaji wanapoteza mipira hovyo,mtu anapoteza mpira anatembea kama anaenda BUZA.Hawana pira msako tena.
NB:NALAANI KITENDO WALICHOFANYA MASHABIKI WA SIMBA UWANJANI.KAMA MNAFANYA HAYA SHIRIKISHO MKIFIKA KLABU BINGWA SI NDO MTABOMOA KABISA UWANJA?.
Nimeandika kimpira comment pia kimpira.